ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba was SC, Abdul Yussuf Hazali amefariki dunia mchana huu katika Hospitali ya TMJ, Mikocheni Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Kwa mujibu wa kaka wa marehemu, Waziri Yussuf Hazali msiba upo nyumbani kwake, Tabata Magengeni Jijini Dar es Salaam, ingawa mazishi yatafanyika kwao, Lushoto mkoani Tanga.
0 comments:
Post a Comment