• HABARI MPYA

  Saturday, February 11, 2023

  AZAM FC YAICHAPA KMKM 1-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI


  BAO pekee la nyota Muivory Coast, Kipre Junior dakika ya 60 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMKM katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Azam FC imejipa kambi maalum Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Simba SC Februari 21 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA KMKM 1-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top