Mwanzo > TFF > CAF WAWASILI KWA UKAGUZI WA SUPER LEAGUE HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA TFF CAF WAWASILI KWA UKAGUZI WA SUPER LEAGUE MAOFISA kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wamewasili nchini kwa lengo la kufanya ukaguzi wa miundo mbinu ya uwanja, hoteli na hospitali ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya CAF Super League, michuano ambayo Tanzania itawakilishwa na klabu ya Simba. Friday, February 17, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA TFF
0 comments:
Post a Comment