• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 06, 2020

  VIONGOZI WA YANGA SC WAKIPEWA SEMINA YA TAARIFA YA MABADILIKO YA MFUMO WA KLABU YAO

  Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, Mhandisi Hersi Said akitoa mafunzo maalum kwa viongozi wa Yanga SC ya kuwajengea ufahamu juu ya taarifa ya awamu ya kwanza ya mabadiliko ya mfumo wa uenedeshwaji wa klabu hiyo jana Jijini Dar es Salaam  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VIONGOZI WA YANGA SC WAKIPEWA SEMINA YA TAARIFA YA MABADILIKO YA MFUMO WA KLABU YAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top