• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 06, 2020

  CAF YAIFUTA MECHI YA MARUDIANO YA AL RABITA NA NAMUNGO FC KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA LEO CHAMAZI

  SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeufuta mchezo wa marudiano wa Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho, kati ya wenyeji Al Rabita FC, dhidi ya Namungo FC, mtanange uliopangwa kuchezwa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Sasa Namungo FC walioshinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita wanatinga Raundi ya Kwanza na watamenyana na sasa itamenyana na Al Hilal Al Obayed ya Sudan, mechi ya kwanza itachezwa Jumanne ya Desemba 22, mwaka huu Dar es Salaam na marudiano Jumatano ya Januari 6, mwakani mjini Al Obayed.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CAF YAIFUTA MECHI YA MARUDIANO YA AL RABITA NA NAMUNGO FC KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA LEO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top