• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 03, 2020

  TOTTENHAM HOTSPUR YAICHABANGA MANCHESTER CITY 2-0

  Son Heung-Min akifurahia baada ya kuifungia bao la pili Tottenham Hotspur dakika ya 71 kufuatia Steven Bergwijn kufunga la kwanza dakika ya 63 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TOTTENHAM HOTSPUR YAICHABANGA MANCHESTER CITY 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top