• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 03, 2020

  FATI APIGA ZOTE MBILI PASI ZA MESSI BARECLONA YAICHAPA LEVANTE 2-1

  Nyota mdogo, Ansu Fati akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona dakika ya 30 na 31 mara zote akimalizia pasi za Lionel Messi timu hiyo ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Levante, ambayo bao lake lilifungwa na Ruben Rochina usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa La Liga. Fati aliyezaliwa Guinea-Bissau Oktoba 31, 2002 ambaye sasa ana uraia wa Hispania, ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mdogo zaidi (miaka 17) kufunga mabao mawili katika mechi moja ya La Liga kihistoria 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FATI APIGA ZOTE MBILI PASI ZA MESSI BARECLONA YAICHAPA LEVANTE 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top