• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 01, 2019

  SIMBA SC WAHAMISHIA HASIRA ZOTE KWA MBEYA CITY BAADA YA KUPIGWA NA MWADUI

  Kocha Mkuu wa Simba SC, Mbelgiji Patrick Aussems akielekea kwenye gari baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutoka Mwanza walipounganisha usafiri wa anga wakitokea Shinyanga kwa usafari wa basi ambako Jumatano walifungwa 1-0 na Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara   
  Wachezaji Ibrahim Ajibu (kushoto) na Haruna Shamte (kulia) baada ya kuwasili Dar es Salaam kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Mbeya City Jumapili Uwanja wa Uhuru
  Miraj Athumani 'Madenge' mbele akifuatiwa na kipa Beno Kakolanya 
  Kiungo Francis Kahata baada ya kuwasili Dar es Salaam tayari kwa mchezo na Mbeya City Jumapili
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAHAMISHIA HASIRA ZOTE KWA MBEYA CITY BAADA YA KUPIGWA NA MWADUI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top