• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 03, 2019

  CANELO ALVAREZ AMTWANGA KOVALEV KWA KO RAUNDI YA 11

  Bondia Mmexico, Canelo Alvarez akimtazama mpinzani wake, Mrusi Sergey Kovalev mwenye umri wa miaka 36 baada ya kumuangusha chini na kupata ushindi wa Knockout (KO) raundi ya 11 asubuhi ya leo ukumbi wa MGM Grand, Grand Garden Arena mjini Las Vegas Marekani. Kwa ushindi huo, Alvarez mwenye umri wa miaka 29 anakuwa bingwa wa WBO uzito Light Heavy na kuweka rekodi ya kushinda mataji manne ya dunia katika uzito tofauti kwenye ngumi za kulipwa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CANELO ALVAREZ AMTWANGA KOVALEV KWA KO RAUNDI YA 11 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top