Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane akipangusa uso wake wakati wa mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Club Brugge uliomalizika kwa sare ya 2-2 usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Club Brugge ilitangulia kwa mabao ya mshambuliaji wake Mnigeria Emmanuel Dennis dakika ya tisa na 39 kabla ya Real Madrid kusawazisha kupitia kwa Sergio Ramos dakika ya 55 na Casemiro dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment