Cristiano Ronaldo akifurahia baada ya kufungia Juventus bao la tatu dakika ya 88 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Bayer Leverkusen kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Mabao mengine ya Juventus yamefungwa na Gonzalo Higuain dakika ya 17 na Federico Bernardeschi dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment