MWAKALEBELA, NEMES, KITWANA, MARSHA NA MWAMEJA STARS 1992
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars mwaka 1992 kutoka kulia Nahodha na beki, David Mwakalebela ‘MP’, kipa Steven Nemes, mshambuliaji Kitwana Suleiman, kiungo Hussein Marsha na kipa mwingine, Mwameja Mohammed
0 comments:
Post a Comment