• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 09, 2019

  MAKONDA AMJAZA MAMILIONI KASEJA BAADA YA KUOKOA PENALTI YA BURUNDI JANA TAIFA STARS IKISONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto) akimkabidhi kipa Juma Kaseja zawadi ya Sh. Milioni 10 kama pongezi kwa kuokoa penalti ya Gael Duhayindavyi wa Burundi, timu ya taifa ya Tanzania ikishinda kwa penalti 3-0 kufuatia sare ya jumla ya 2-2 na kusonga mbele katika mbio za Kombe la Dunia Qatar mwaka 2022 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAKONDA AMJAZA MAMILIONI KASEJA BAADA YA KUOKOA PENALTI YA BURUNDI JANA TAIFA STARS IKISONGA MBELE KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top