• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 14, 2019

  BENZEMA AFUNGA MABAO MAWILI REAL MADRID YAICHAPA LEVANTE 3-2

  Karim Benzema amefunga mabao mawili dakika za 25 na 31 katika ushindi wa 3-2 wa Real Madrid dhidi ya Levante leo Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Bao lingine la Real limefungwa na Casemiro dakika ya 40 na ya Levante yamefungwa na Borja Mayoral dakika ya 49 na Melero dakika ya 75 Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENZEMA AFUNGA MABAO MAWILI REAL MADRID YAICHAPA LEVANTE 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top