• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 25, 2019

  MAN CITY YAICHAPA PRESTON NORTH END 3-0 CARABAO CUP

  Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester City dakika ya 35 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Preston North End jana usiku Uwanja wa Deepdale kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Raheem Sterling dakika ya 19 na Ryan Ledson aliyejifunga dakika ya 42 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY YAICHAPA PRESTON NORTH END 3-0 CARABAO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top