• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 28, 2019

  BOSI WA AZAM TV, TIDO MHANDO ALIVYOWAKABIDHI VYETI WAANDISHI WALIOPIGWA MSASA NA TFF

  Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Dunstan Tido Mhando (wa kushoto), akimkabidhi cheti cha uhitimu mafunzo maalum ya wiki moja ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mwandishi wa habari Ramadhani Mwelendo jana hoteli ya Serene mjini Dar es Salaam. Wengine kulia ni Rais wa TFF,. Wallace Karia na Katibu wake, Wilfred Kidau.
  CEO wa Azam Media, Tido Mhando akimkabidhi cheti, mwandishi wa habari, Charles Abel 
  CEO wa Azam Media, Tido Mhando akimkabidhi cheti, mwandishi wa habari jana hoteli ya Serene  
  CEO wa Azam Media, Tido Mhando akimkabidhi cheti, mhitimu wa mafundisho hayo jana
  Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu pamoja na vigogo wa TFF
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BOSI WA AZAM TV, TIDO MHANDO ALIVYOWAKABIDHI VYETI WAANDISHI WALIOPIGWA MSASA NA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top