• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 19, 2019

  MAHREZ, JESUS WAFUNGA MANCHESTER CITY WASHINDA 3-0 UGENINI

  Riyad Mahrez (kulia) akishangilia na Ilkay Gundogan baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 24 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Shakhtar Donetsk kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Oblasny SportKomplex Metalist mjini Kharkiv. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Gundogan dakika ya 38 na Gabriel Jesus dakika ya 36 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAHREZ, JESUS WAFUNGA MANCHESTER CITY WASHINDA 3-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top