'KING CLASS' AKIMNOA JUMA CHOKI KUMVAA MWAKYEMBE JUMAPILI
Bondia Ibrahim Mgender 'King Class Mawe' kushoto' akipigana na Juma Choki katika pambanop la mazoezi mjini Dar es Salaam jana. Choki anajiandaa na pambano dhidi ya Emanuel Mwakyembe litakalofanyika Jumapili wiki hii ukumbi wa Backet Club ulipo Masaki, Jijini.
0 comments:
Post a Comment