• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 14, 2019

  RASHFORD AFUNGA KWA PENALTI MAN UNITED YAICHAPA 1-0 LEICESTER

  Marcus Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao pekee dakika ya nane kwa penalti ikiilaza 1-0 Leicester City 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASHFORD AFUNGA KWA PENALTI MAN UNITED YAICHAPA 1-0 LEICESTER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top