Beki wa kikosi cha wachezaji wa akiba cha LA Galaxy, Mtanzania Abdalla Haji Shaibu 'Ninja' akiwa na mshambuliaji wa kikosi cha kwanza cha timu hiyo, Msweden Zlatan Ibrahimovich kwenye gym ya klabu hiyo Dignity Health Sports Park Carson mjini California nchini Marekani kwa mazoezi ya viungo. Ninja yupo LA Galaxy II kwa mkopo kutoka MFK Vyskov ya Czech aliyojiunga nayo akitokea Yanga ya Dar es Salaam
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment