Kiungo Mholanzi, Georginio Wijnaldum akishangilia na mchezaji mwenzake, Mbrazil Roberto Firmino baada ya kuifungia Liverpool bao pekee dakika ya 79 ikiwalaza wenyeji, Sheffield United 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Bramall Lane huo ukiwa ushindi wa saba mfululizo tangu msimu uanze PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment