• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 19, 2019

  KOZI YA WAKUFUNZI WA MAKOCHA NCHINI ILIVYOFUNGWA LEO AZAM COMPEX, CHAMAZI

  Mkufunzi wa kimataifa, Sunday Burton Kayuni akizungumza na wahitimu wa Kozi ya Ukufunzi wa Makocha iliyofungwa leo katika hosteli za Azam Complex, Chamazi nje ya kidogo ya jiji la Dar es Salaam ambayo ilishirikisha makocha 12 kutoka mikoa mbalimbali.
  Makocha 12 walioshiriki Kozi ya Ukufunzi wa Ukocha katika picha ya pamoja na Mkufunzi Mkuu, Sunday Kayuni  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOZI YA WAKUFUNZI WA MAKOCHA NCHINI ILIVYOFUNGWA LEO AZAM COMPEX, CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top