• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 26, 2019

  BATSHUAYI APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 7-1 KOMBE LA LIGI ENGLAND

  Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili dakika za saba na 86 katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Grimsby Town kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Ross Barkley dakika ya nne, Pedro kwa penalti dakika ya 43, Kurt Zouma dakika ya 56, Reece James dakika ya 82 na Callum Hudson-Odoi dakika ya 89 wakati la Grimsby Town limefungwa na Matt Green dakika ya 19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BATSHUAYI APIGA MBILI CHELSEA YASHINDA 7-1 KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top