• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 28, 2019

  TRIANGLE UNITED YAIGONGA 1-0 TENA AZAM FC NA KUITUPA NJE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

  Kiungo wa Azam FC, Mudathir Yahya Abbas akimlamba chenga mchezaji wa Triangle United jioni ya leo Uwanja wa Barbourfields mjini Bulawayo, Zimbabwe katika mchezo wa marudiano Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika.  Triangle United imeshinda 1-0 na kusonga mbele kwa ushindi wa 2-0 baada ya kushinda 1-0 pia ugenini wiki mbili zilizopita mjini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TRIANGLE UNITED YAIGONGA 1-0 TENA AZAM FC NA KUITUPA NJE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top