Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 78 kufuatia Marcelo Brozovic kufunga la kwanza dakika ya 49 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya mahasimu, AC Milan Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan jana kwenye mchezo wa Serie A PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment