• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 22, 2019

  LIVERPOOL YAENDELEZA UBABE ENGLAND, YAPIGA CHELSEA 2-1 DARAJANI

  Roberto Firmino (wa pili kulia) akiifungia bao la pili Liverpool dakika ya 30 kufuatia Trent Alexander-Arnold kufunga la kwanza dakika ya 14, kabla ya N'Golo Kante kuifungia Chelsea dakika ya 71 Wekundu hao wakishinda 2-1 Uwanja wa Stamford Bridge mjini London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAENDELEZA UBABE ENGLAND, YAPIGA CHELSEA 2-1 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top