• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 15, 2019

  ARSENAL YAPOKONYWA USHINDI MWISHONI, SARE 2-2 NA WATFORD

  Roberto Pereyra akishangilia baada ya kuifungia Watford bao la kusawaziwsha dakika ya 81 kwa penalti ikitoa sare ya 2-2 na Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo ambao ni wa kwanza baada ya Quique Sanchez Flores kurejea Vicarage Road. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika za 21 na 32 wakati la kwanza la Watford limefungwa na Tom Cleverley dakika ya 53 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAPOKONYWA USHINDI MWISHONI, SARE 2-2 NA WATFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top