• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 19, 2019

  DI MARIA APIGA MBILI PSG YAICHAPA REAL MADRID 3-0 PARIS

  Muargentina Angel Di Maria (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Paris Saint-Germain mabao mawili dakika za 14 na 33 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Madrid jana kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Bao lingine la PSG lilifungwa na Thomas Meunier dakika ya 90 na ushei 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DI MARIA APIGA MBILI PSG YAICHAPA REAL MADRID 3-0 PARIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top