• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 18, 2019

  LIVERPOOL HOI ITALIA, YACHAPWA 2-0 NA NAPOLI LIGI YA MABINGWA

  Mshambuliaji wa Liverpool, Mmisri Mohamed Salah akidhibitiwa na beki wa Napoli, Msenegal Kalidou Koulibaly katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjini Napoli, wenyeji wakishinda 2-0 mabao ya Dries Mertens kwa penalti dakika ya 82 na Fernando Llorente dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL HOI ITALIA, YACHAPWA 2-0 NA NAPOLI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top