• HABARI MPYA

  Wednesday, September 25, 2019

  MESSI AUMIA TENA, LAKINI BARCELONA YAICHAPA 2-1 VILLARREAL LA LIGA

  Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akipatiwa matibabu ya msuli wa paka baada ya kuumia katika mchezo wa La Liga dhidi ya Villarreal usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou kabla ya kutolewa mapumziko nafasi yake ikichukuliwa na Ousmane Dembele. Barcelona ilishinda 2-1, mabao yake yakichukuliwa na Antoine Griezmann dakika ya sita na Arthur Melo dakika ya 15, wakati la Villarreal lilifungwa na Santi Cazorla dakika ya 44 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AUMIA TENA, LAKINI BARCELONA YAICHAPA 2-1 VILLARREAL LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top