Teemu Pukki (kushoto) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Norwich City bao la tatu dakika ya 50 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Carrow Road. Mabao mengine ya Norwich yamefungwa na Kenny McLean dakika ya 18 na Todd Cantwell dakika ya 28 wakati ya Man City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya 45 na Rodri Hernández dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment