Mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 84 ikiilaza 3-2 Aston Villa Uwanja wa Emirates leo. Mabao mengine ya Arsenal iliyomaliza pungufu baada kinda wake Ainsley Maitland-Niles kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 41 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kucheza rafu, yalifungwa na Nicolas Pepe kwa penalti dakika ya 59 na Callum Chambers dakika ya 81, wakati ya Villa yalifungwa na John McGinn dakika ya 20 na Wesley dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
JUST IN: Arsenal midfielder Mohamed Elneny signs new contract
-
Arsenal have announced that midfielder Mohamed Elneny has signed a new
contract with the north London side. Elneny has been a key member of the
Arsenal sq...
Dakika 36 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni