• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 23, 2019

  BENZEMA APIGA BAO PEKEE REAL MADRID YAICHAPA 1-0 SEVILLA

  Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 64 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sevilla kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENZEMA APIGA BAO PEKEE REAL MADRID YAICHAPA 1-0 SEVILLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top