• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 28, 2019

  RONALDO AFUNGA LA PLI JUVENTUS YAICHAPA SPAL 2-0 SERIE A

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao la pili dakika ya 78 ikiilaza SPAL 2-0 kufuatia Miralem Pjanic kufunga la kwanza dakika ya 45 katika mchezo wa Serie A leo Uwanja wa Allianz mjini Torino 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA LA PLI JUVENTUS YAICHAPA SPAL 2-0 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top