• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 19, 2019

  RONALDO AKOSA BAO JUVENTUS YATOA SARE 2-2 NA ATLETICO MADRID

  Cristiano Ronaldo akiwa ameshika kichwa baada ya kupoteza nafasi nzuri ya kuifungia timu yake bao ambalo lingekuwa la ushindi, Juventus ikitoa sare y 2-2 na wenyeji Atletico Madrid kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid. Juventus ilitangulia kwa mabao ya Juan Cuadrado dakika ya 48 Blaise Matuidi dakika ya 68 kabla ya Atletico Madrid kusawazisha kupitia kwa Stefan Savic dakika ya 70 na Hector Herrera dakika ya 90 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AKOSA BAO JUVENTUS YATOA SARE 2-2 NA ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top