• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 20, 2019

  AUBAMEYANG AENDELEZA MOTO, ARSENAL YASHINDA 3-0 UGENINI

  Pierre-Emerick Aubameyang (kushoto) akishangilia na Bukayo Saka baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-0 wa Arsenal dhidi ya wenyeji, Eintracht Frankfurt kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Commerzbank-Arena mjini Frankfurt. Saka alifunga bao la pili dakika ya 85 na Aubameyang la tatu dakika ya 87 baada ya Joe Willock kufunga la kwanza dakika ya 38 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG AENDELEZA MOTO, ARSENAL YASHINDA 3-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top