• HABARI MPYA

  Sunday, September 15, 2019

  ANSU FATI AFUNGA TENA BARCELONA YAICHAPA VALENCIA 5-2 LA LIGA

  Kinda wa miaka 16, Anssumane Fati 'Ansu Fati' akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao dakika ya pili katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Valencia kwenye mchezo La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou, hilo likiwa ba lake la pili tangu apandishwe. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Frenkie de Jong dakika ya saba, Gerard Piqué dakika ya 51 na Luis Suarez mawili, dakika ya 61 na 82, wakati ya Valencia yamefungwa na Kevin Gameiro dakika ya 27 na Maximiliano Gómez 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ANSU FATI AFUNGA TENA BARCELONA YAICHAPA VALENCIA 5-2 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top