• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 28, 2019

  YANGA SC WAKIJIFUA KUPINDUA MEZA LEO DHIDI YA ZESCO UNITED NDOLA

  Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini mjini Ndola jana asubuhi kuelekea mchezo wa marudiano hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Zesco United leo jioni Uwanja wa Levy Mwanawasa. Yanga inatakiwa kushinda ugenini leo baada ya sare ya 1-1 nyumbani wiki mbili zilizopita 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WAKIJIFUA KUPINDUA MEZA LEO DHIDI YA ZESCO UNITED NDOLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top