Sadio Mane (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake, beki Virgil van Dijk baada ya kuiufngia timu yake bao la kusawazisha dakika ya 28 kufuatia Jetro Willems kutangulia kuifungia Newcastle United dakika ya saba katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Liverpool imeshinda 3-1, mabao yake mengine yakifungwa na Mane pia dakika ya 40 na Mohamed Salah dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment