• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 21, 2019

  LEICESTER CITY YAICHAPA TOTTENHAM HOTSPUR 2-1 KING POWER

  Kiungo James Maddison akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Leicester City dakika ya 85 ikiilaza 2-1 Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power. Bao la kwanza la Leicester limefungwa na Ricardo Pereira dakika ya 69, likiwa la kusawazisha baada ya Harry Kane kuanza kuifungia Spurs dakika ya 29 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY YAICHAPA TOTTENHAM HOTSPUR 2-1 KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top