Mshambuliaji Mbrazil, Gabriel Martinelli (kushoto) akishangilia na Calum Chambers baada ya kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 31 kabla ya kufunga na la tano dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Nottingham Forest usiku wa jana Uwanja wa Emirates mjini London kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England 'Carabao Cup'. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Rob Holding dakika ya 71, Joe Willock dakika ya 77 na Reiss Nelson dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment