Jadon Sancho akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili England dakika za 44 na 45 na ushei katika ushindi wa 5-3 dhidi ya Kosovo kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2020 jana Uwanja wa St. Mary's mjini Southampton, Hampshire. Mabao mengine ya England yalifungwa na Raheem Sterling dakika ya nane, Harry Kane dakika ya 19 na Mergim Vojvoda aliyejifunga dakika ya 38, wakati ya Kosovo yalifungwa na Valon Berisha mawili dakika ya kwanza na 49 na Vedat Muriqi kwa penalti dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment