• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 19, 2019

  TAIFA STARS WAKIJIFUA BOKO KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA SUDAN JUMAPILI DAR KUFUZU CHAN

  Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kushoto) akigombea mpira na beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' kwenye mazoezi ya timu ya taifa, Taifa Stars leo Uwanja wa Boko Veterani.
  Makipa Juma Kasema wa KMC (kushoto) na Metacha Mnata wa Yanga (kulia) wakijiandaa na mchezo dhidi ya Sudan utakaofanyika Jumapili mjini Dar es Salaam wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa wa Afrika (CHAN) mwakani nchini Cameroon  
  Wachezaji wa Simba, kiungo Hassan Dilunga (mbele) na beki Haruna Shamte wakigombea mpira 
  Mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda akimiliki mpira mbele ya mwenzake 
  Wachezaji wa Simba SC, kiungo Jonas Mkude (kushoto) na beki Erasto Nyoni (kulia)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WAKIJIFUA BOKO KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA SUDAN JUMAPILI DAR KUFUZU CHAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top