Mshambuliaji wa Simba SC, Mnyarwanda Meddie Kagere (kulia) akikabidhiwa mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 jioni ya leo Uwanja w Uhuru mjini Dar es Salaam kabla ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar baada ya kuibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Agosti. Kagere aliuanza vizuri mwezi Septemba pia baada ya kufunga katika ushindi wa 2-1 leo
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment