• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 14, 2019

  TAMMY ABRAHAM APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 5-2 UGENINI

  Kinda wa Chelsea, Tammy Abraham akifurahia baada ya kuifungia Chelsea mabao matatu dakika za 34, 41 na 55 katika ushindi wa 5-2 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers leo Uwanja wa Molineux. Mabao mengine ya The Blues yamefungwa na Fikayo Tomori dakika ya 31 na Mason Mount dakika ya 90 na ushei, wakati ya Wolves moja Abraham alijifunga dakika ya 69 na lingine alifunga Patrick Cutrone dakika ya 85 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAMMY ABRAHAM APIGA HAT TRICK CHELSEA YASHINDA 5-2 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top