• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 08, 2019

  NEYMAR AISAWAZISHIA BRAZIL IKITOA SARE YA 2-2 NA COLOMBIA MAREKANI

  Neymar akishangilia baada ya kuifungia Brazil bao la kusawazisha dakika ya 58 katika sare ya 2-2 na Colombia kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Hard Rock mjini Miami, Marekani. Bao la kwanza la Brazil lilifungwa na Casemiro dakika ya 19, wakati ya Colombia yote yalifungwa na L. Muriel dakika ya 25 kwa penalti na 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NEYMAR AISAWAZISHIA BRAZIL IKITOA SARE YA 2-2 NA COLOMBIA MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top