• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 22, 2019

  MESSI ASHINDWA KUINUSURU BARCELONA, YACHAPWA 2-0 LA LIGA

  Lionel Messi akiwa haaimini macho yake baada ya kipigo cha 2-0 kutoka kwa wenyeji, Granada kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Nuevo Los Carmenes, mabao ya Ramon Azeez dakika ya pili na Alvaro Vadillo kwa penalti dakika ya 66. Messi aliingia akitokea benchi kuchukua nafasi ya Carles Perez kipindi cha pili baada ya kuw anje kwa muda mrefu kutokana na maumivu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI ASHINDWA KUINUSURU BARCELONA, YACHAPWA 2-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top