• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 22, 2019

  MAN UNITED WACHAPWA 2-0 NA WEST HAM UNITED LONDON

  Aaron Cresswell akishangilia baada ya kuifungia West Ham United bao la pili kwa shuti la mpira wa adhabu dakika ya 84 kufuatia Andriy Yarmolenko kufunga la kwanza dakika ya 44 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa London 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED WACHAPWA 2-0 NA WEST HAM UNITED LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top