• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 26, 2019

  LIVERPOOL YAICHAPA MILTON KEYNES DONS 2-0 CARABAO CUP

  Rhian Brewster akimrukia mgongoni mchezaji mwenzake, Ki-Jana Hoever kumpongeza baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 69 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Milton Keynes Dons kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa MK mjini Buckinghamshire. Bao la kwanza la Liverpool lilifungwa na James Milner dakika ya 69 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA MILTON KEYNES DONS 2-0 CARABAO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top