• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 10, 2019

  UBELGIJI YAICHAPA SCOTLAND 4-0 KUFUZU EURO 2020 PALE PALE GLASGOW

  Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao la nne dakika ya 82 akimalizia pasi ya Romelu Lukaku katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Scotland kwenye mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Hampden Park mjini Glasgow. Mabao mengine ya Ubelgiji yalifungwa na Lukaku dakika ya tisa, Thomas Vermaelen dakika ya 24, wote wakimalizia pasi za De Bruyne na Toby Alderweireld dakika 32 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UBELGIJI YAICHAPA SCOTLAND 4-0 KUFUZU EURO 2020 PALE PALE GLASGOW Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top